News and Events Change View → Listing

BALOZI WA TANZANIA MHE. SUZAN S. KAGANDA AFANYA MAZUNGUMZO NA MHESHIMIWA JENERALI MSTAAFU PETER A.L NAMATHANGA BALOZI WA JAMHURI YA MALAWI NCHINI ZIMBABWE.

Tarehe 22 Agosti, 2025, Mheshimiwa Balozi Suzan S. Kaganda alikutana na Mheshimiwa Jenerali Mstaafu Peter A.L. Namathanga, Balozi wa Jamhuri ya Malawi nchini Zimbabwe na kujadiliana masuala mbalimbali ya…

Read More

UBALOZI WA TANZANIA MJINI HARARE WATEMBELEA MRADI WA GEO POMONA WASTE MANAGEMENT (PVT)

Tarehe 21 Agusti, 2025, Mhe. Balozi Suzan S. Kaganda akiongozana na timu ya Watumishi wa Ubalozi tulipata fursaya kutembelea Mradi wa Geo Pomona Waste Management (PVT) Ltd uliyopo Harare.Mkurugenzi Mtendaji…

Read More

GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT), EMMANUEL TUTUBA NA UJUMBE WAKE WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, HARARE-ZIMBABWE

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba na ujumbe wake wametembelea Ubalozi wa Tanzania, Harare-Zimbabwe. Ziara hii imwefanyika wakati Gavana Tutuba na Ujumbe wake wakiwa ziarani nchini Zimbabwe…

Read More

INDUSTRIALIZATION PILLAR OF SADC DEVELOPMENT

THE SADC industrialisation agenda is gathering momentum and presents the bloc's leaders with more opportunities to strategize  on mechanisms that promote trade, job creation, women and youth empowerment,…

Read More

TANZANIA PORTS AUTHORITY OPENS OFFICE IN HAHARE, ZIMBABWE

Tanzania Ports Authority (TPA)  opened its first office in Harare on the 16th of October 2023, to enhance the ease way of doing business as well as to ensure a seamless flow of cargo and trade between the…

Read More