EXCLUSIVE:BALOZI SIRRO AFUNGUKA FURSA KIBAO ZIMBABWE
BALOZI wa Tanzania Nchini Zimbabwe, IGP Mstaafu Simon SIRRO, amewakaribisha Watanzania kuwekeza nchini Zimbabwe na kusema kuwa fursa ni nyingi na kuwataka watu wachangamkie fursa. Akizingumza ubalozini jijini Harare, Balozi SIRRO… Read More