Katika picha ni ujumbe kutoka Wizara ya Uchukuzi na wadau wa sekta hiyo waliopo nchini Zimbabwe kushiriki Mkutano.

Tarehe 07 Februari, 2025, ujumbe huo unaoongozwana Mhe. Ludovick Nduhiye, Naibu Katibu Muu, Wizara ya Uchukuzi 

ulipata wasaa wa kutembelea Ofisi za Ubalozi na kufanya mazungumzo na Mhe. Balozi Simon N. Sirro.