BALOZI WA TANZANIA MHE. SUZAN S. KAGANDA AFANYA MAZUNGUMZO NA MHESHIMIWA JENERALI MSTAAFU PETER A.L NAMATHANGA BALOZI WA JAMHURI YA MALAWI NCHINI ZIMBABWE.
Tarehe 22 Agosti, 2025, Mheshimiwa Balozi Suzan S. Kaganda alikutana na Mheshimiwa Jenerali Mstaafu Peter A.L. Namathanga, Balozi wa Jamhuri ya Malawi nchini Zimbabwe na kujadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano… Read More