Mhe. Simon Nyakoro Sirro, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Zimbabwe alivyowasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Emmerson D. Mnangagwa, Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe.